video

VIDEO: KOCHA SIMBA AWAFUNGUKIA WACHEZAJI WAKE WAPYA

admin August 11, 2021 6:43 am

KIKOSI cha Simba jana kilikwea pipa kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kuwa ni jambo la msingi kwao kupata muda wa maandalizi. 


Kuhusu nyota wapya ambao wamesajiliwa watapata muda wa maandalizi pamoja na kuwa sawa kwa ajili ya kuipambania timu hiyo.

 

HUKU AKIWA NA DILI LA KWENDA MOROCCO, HUU HAPA MSIMAMO WA CHRIS MUGALU KMKM WAFUNGASHIWA VIRAGO KAGAME CUP

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply