video

VIDEO:MCHAMBUZI WA SIMBA AANAMINI KWAMBA WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO

admin August 11, 2021 8:43 am

MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye msimu ujao wakiwa imara.


 Simba jana ilikwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.

 

UCHAGUZI UMEISHA, TUMUUNGE MKONO WALLACE KARIA VIDEO: KAMBI YA SIMBA MOROCCO USIPIME, YANGA YAMFICHA BEKI MOROCCO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply