NYOTA YANGA AMPA TANO MZAMIRU YASIN,CHEKI REKODI ZAKE
ALLY Mayayi, nyota wa zamani wa kikosi cha Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa miongoni mwa viungo wazawa ambao...
RASMI, JESHI LA SIMBA VS BIASHARA UNITED LEO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanashuka katika Uwanja wa Karume, mkoani Mara katika vita ya kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya...
MRUNDI YANGA AFUNGUKA SABABU YA FISTON KUTOONESHA MAKEKE
FISTON Abdol Razack ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga amekingiwa kifua na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze raia wa Burundi kwa...
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA BIASHARA UNITED
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Wanajeshi wa mpakani, Uwanja wa Karume,...
JKT TANZANIA BADO WAMO, HAWAJAKATA TAMAA
KOCHA wa Klabu ya JKT Tanzania, Abdalah Mohamed,’Bares’ amesema kuwa bado hawajaka tamaa licha ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji,...
TSHISHIMBI – KWA SIMBA HII…WASHINDWE WENYEWE TU KWENDA ROBO FAINALI
KIUNGO Mkongomani wa AS Vita, Papy Kabamba ‘Tshishimbi’ amekiri kwamba, kwa jinsi SImba ilivyo imebadilika kwa kiwango kikubwa kuliko misimu misili iliyopita, imebaki kwao...
KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA SIMBA
LEO Februari 18, Uwanja wa Karume, Mara kutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Simba.Biashara United inayonolewa na Kocha...
MAXIME:HAIKUWA SHUGHULI NDOGO, FEI ATOKWA NA MACHOZI
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa haikuwa shughuli ya kitoto kwa timu yake kulazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya...
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO
LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaendelea ndani ya uwanja kwa timu kusaka pointi tatu.Ikiwa leo ni Februari 18 ratiba inakwenda namna hii:-JKT...
HONGERA ISSA NGOAH,KAZI BADO NZITO KWA WANA IHEFU
ISSA Ngoah nyota anayekipiga ndani ya Ihefu FC kazi yake imeonekana ndani ya Ihefu kwa kutimiza majuku yake ndani ya uwanja kwenye mechi mbili...