BARCELONA WANYOOSHWA NA PSG

0
 LICHA ya kutupia bao la Kwanza mapema dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti,kupitia kwa Lionel Messi bado alikubali kichapo cha mabao 4-1 mbele...

SIMBA YAANZA SAFARI KUELEKEA MUSOMA KUIFUATA BIASHARA UNITED

0
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba leo asubuhi kimeanza safari kutoka Jijini Mwanza kuelekea Musoma mkoani Mara kuwafuata Biashara...

NAMUNGO: TUMEPATA FUNZO

0
BAADA ya kurejea kutokea nchini Angola, Uongozi wa kikosi cha klabu ya soka ya Namungo umefunguka kuwa yale yote ambayo wamekutana nayo katika safari...

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

0
 LEO Februari 17 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye viwanja vitatu tofauti kusaka pointi tatu. Huu ni mzunguko wa pili ambao...

MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAJA TOFAUTI NA KAGERE,ADAM

0
 PRINCE Dube, nyota wa Azam FC ambaye ni mtambo namba moja wa kutengeneza mabao kwenye kikosi hicho ameamua kuja na muonekano mpya kwa mzunguko...

WAAFRIKA WAWILI WAKIWASHA LIGI YA MABINGWA ULAYA

0
 RAIA wawili wa Afrika wanaocheza ndani ya England, Mohamed Salah na Sadio Mane waliweza kutimiza majukumu yao ya kutupia kwenye mchezo wa Ligi ya...

AISHI MANULA :TUTAFANYA VIZURI, MASHABIKI WATUPE SAPOTI

0
 KIPA namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amesema kuwa watapambana kwa pamoja kufikia malengo ambayo wamejiwekea...

YANGA NA DAKIKA 180 ZA MOTO BONGO

0
  CEDRIC Kaze baada ya kubwana mbavu mbele ya Mbeya City kwa kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili ana dakika...

BREAKING:MECHI ZOTE ZA NAMUNGO DHIDI YA WAANGOLA KUPIGWA BONGO

0
 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya CD 1 Agosto ya Angola na Namungo...

SIMBA KUSHUSHA MUZIKI KAMILI DHIDI YA BIASHARA UNITED

0
 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwenye mchezo wao dhidi ya Biashara United atawafuata kwa tahadhari na atwatumia wachezaji wake wote kusaka...