MWAMUZI WA MBEYA CITY V YANGA, MIKONONI MWA KAMATI

0
 MWAMUZI  Ludovic Charles ambaye alichezesha mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City na Yanga, Uwanja wa Sokoine kwenye sare ya kufungana bao...

WAPINZANI WA SIMBA WANABALAA

0
 NGOMA kundi A kwa sasa moto unazidi kuweka baada ya Al Ahly kushusha kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Al Merrik.Mabao ya Al Ahly...

MUGALU ATOA KAULI YA KIBABE KUHUSU LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
MFUNGAJI wa bao pekee la Simba katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, Mkongomani,...

WABAGUZI WAMSHAMBULIA NYOTA MANCHESTER UNITED

0
ANTHONY Martial, amejikuta akiingia katika wakati mgumu kwa mara nyingine baada ya kushambuliwa mitandaoni wakati timu yake ya Manchester United ikipata sare ya bao 1-1 dhidi ya West...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 

SIMBA YAANZA SAFARI KUWAFUATA BIASHARA UNITED

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, leo Februari 16 kimeanza safari kuwafuata wapinzani wao Biashara United ya Mara. Msafara wa mabingwa hao...

KAZE AFUNGUKIA SABABU YA SARE MFULULIZO

0
KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa, kukosa umakini kwa washambuliaji wake katikati kutumia nafasi wanazotengeza uwanjani, ndiyo sababu kubwa ya...

LIGI YA WANAWAKE KUREJEA WIKIENDI HII

0
  Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, inatarajia kurejea mwishoni mwa wiki hii baada ya kusimama kwa muda kupisha mapumziko ya kutamatika kwa mzunguko...

LUNYAMILA: KWA HILI LA NAMUNGO, TFF WANASTAHILI PONGEZI

0
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na ile ya Kombe la Shirikisho Afrika imezidi kushika kasi katika viwanja mbalimbali barani humu, ambapo kwa...

NAMUNGO: WAANGOLA WALITUFANYIA UHALIFU

0
UONGOZI wa kikosi cha klabu ya Namungo umesisitiza kuwa kile kilichofanywa na wenyeji wao nchini Angola, Clube Desportivo 1ยบ de Agosto, si fitina za...