MANCHESTER HAIJAKATA TAMAA YA UBINGWA

0
 SARE ya kufungana bao 1-1 dhidi ya West Brom imemfanya Kocha Mkuu wa Manchester United,  Ole Gunnar Solskjaer kusema kuwa haijawatoa kwenye mbio za...

AUBAMEYANG AREJEA KIKOSI CHA KWANZA, ASEPA NA MPIRA

0
 NAHODHA wa kikosi cha Arsenal,  Pierre Emerick Aubameyang amewashukuru wachezaji wenzake pamoja na benchi la ufundi kwa sapoti ambayo wamekuwa wakimpa pamoja na kurejea...

RATIBA YA SIMBA KIMATAIFA, UPANDE WA ULINZI BADO TATIZO

0
 KUNDI A Ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali kutokana na timu ambazo zipo kwenye kundi hilo kuwa zimewekeza kwenye wachezaji na...

TAMBWE:SIJALIPWA FEDHA ZANGU NA YANGA

0
 LICHA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hersi Said ambaye ni Injinia akiwa ni Mkurugenzi wa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu 

KATWILA ATAMBA KUINUSURU IHEFU

0
 USHINDI dhidi ya Ruvu Shooting umemuibua kocha mkuu wa kikosi hicho, Zubery Katwila ambaye ametamba kuwa ndiyo wameanza rasmi safari ya kujiondoa mkiani mwa...

KOCHA AS VITA : SIMBA WALIKUWA BORA KWENYE MBINU

0
BAADA ya kuchezea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba kocha mkuu wa AS Vita, Florent Ibenge ameukubali mziki wa Simba kwa kusema kuwa...

LWANDAMINA: MAJERUHI HAYATUTISHI

0
LICHA ya nyota wa kikosi chake kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara kocha mkuu wa klabu ya Azam, George Lwandamina amesema kwamba hali...

SAIDO NJE MWEZI MZIMA YANGA

0
 NYOTA mpya kunako kikosi cha Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ raia wa Burundi, imebainika kwamba atakaa nje ya dimba kwa takribani mwezi mmoja akiuguza majeraha...

SIMBA SC WALIVYOTUA DAR WAKITOKEA DRC – VIDEO

0
 Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba mchana wa leo Feb 14, 2021 wamefika salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini...