NYOTA WANNE WA AZAM FC KUWAKOSA COASTAL UNION LEO
GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa Azam FC leo atakiongoza kikosi chake kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Wachezaji wake...
HAJI MANARA:TUMEKUJA KUSAKA HESHIMA CONGO
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa kila kitu kuhusu maandalizi ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Vita kipo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
ORODHA YA WACHEZAJI 24 WA YANGA WALIOPO KWENYE MSAFARA WA KWENDA MBEYA
LEO kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kinatarajiwa kuanza safari ya kuelekea Mbeya kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
MKUDE, CHAMA WAMTISHA IBENGE
KOCHA Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge amesema kuwa anaamini kama wachezaji Clatous Chama na Jonas Mkude watacheza kwenye mchezo wa...
KOCHA SIMBA AWAANDALIA AS VITA SAPRAIZI
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes amejiandaa kuwasapraizi wapinzani wao AS Vita katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba...
SIMBA WATUA DR CONGO KAMILI KUIVAA AS VITA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba leo Februari 10 wamewasili salama Kinshasha, DR Congo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya...
YANGA KUIFUATA MBEYA CITY NA WACHEZAJI 24, SAIDO ABAKI BONGO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kinatarajiwa kuanza safari ya kuwafuata wapinzani wao Mbeya City, jiji Mbeya, kesho Februari 11.Vinara hao...
M-Bet YAWAPA MAMILIONI MASHABIKI YANGA WALIOSHINDA
MASHABIKI wawili wa mpira wa miguu wamejishindia jumla ya Sh 85,996, 360 baada ya kubashiri kwa usahihi jumla ya michezo 12 ya mchezo wa...
BWALYA: NITALIPIZA KISASI KWA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Al Ahly, Walter Bwalya amefunguka kuwa amejipanga kuhakikisha analipa kisasi cha kufungwa na Simba wakati akiwa nahodha wa Nkana,...