MANCHESTER UNITED HAINA HESABU NA KOMBE LA LIGI KUU ENGLAND

0
 OLE Gunnar Solskjaer,  Kocha Mkuu wa Manchester United ameweka wazi kuwa hawana mpango wa kutwaa taji la Ligi Kuu England ambalo lipo mikononi mwa...

RATIBA YA LEO KITAIFA NA KIMATAIFA HII HAPA

0
 LEO Jumapili, Februari 7 ndani ya ardhi ya Bongo Ligi Kuu Bara ratiba yake ipo namna hii:-Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa.Namungo v...

MICHAEL SARPONG AAHIDI MABAO MZUNGUKO WA PILI

0
 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefunguka kitendo cha kurudi kwao Ghana wakati wa mapumziko kitamsaidia kubadilisha upepo mbaya wa kushindwa kufunga mabao katika...

UCHAGUZI WA SIMBA NI LEO,SIFA YA MPIGA KURA PIA NI KULIPA ADA

0
 MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba, Boniface Lihamwike amesema kuwa moja ya kigezo cha mwanachama kupiga kura ni kuwa amelipa ada...

ISHU YA DABI KUBADILISHWA TAREHE YANGA WATOA TAMKO

0
 CEDRIC Kaze,Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa haoni tatizo ya mechi yao dhidi ya watani wa jadi Simba kubadilishwa tarehe na Bodi...

NAMUNGO YAIPA NGUVU KMC YA KUANZIA MZUNGUKO WA PILI

0
 CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa Klabu ya KMC amesema kuwa wachezaji wamekubaliana kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zao zijazo ndani ya Ligi Kuu Bara. Februari...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

YANGA YAAMBULIA KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA AFRICAN SPORTS, CHAMAZI

0
 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa kichapo cha bao 1-0 walichokipata mbele ya African Sports Februari 6 ni sehemu ya mchezo.Ikiwa Uwanja...

KOCHA SIMBA KUIBUKIA KENYA

0
 PATRICK Aussems raia wa Ubelgiji yupo Kenya kwa ajili ya kumalizana na Klabu ya AFC Leopards ili akabidhiwe mikoba ya kuinoa timu hiyo.Aussems ambaye...

NYOTA HAWA WANNE WA KIKOSI CHA KWANZA KUIKOSA AZAM FC KWA MKAPA

0
 IKIWA leo Simba itashuka Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hatihati itawakosa...