KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA GUINEA

0
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Guinea kuwania tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali...

BREAKING:OFISA HABARI WA YANGA,BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU

0
 BREAKING: OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka nje na ndani ya Tanzania kwa kutolipa faini ya milioni tano...

MORRISON ANG’ARA, SIMBA IKIUA 4-1 DHIDI YA WASUDANI

0
Mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Simba Super Cup kati ya Simba na Al Hilal umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi mnono wa bao...

SIMBA YATEMBEZA 4G MBELE YA AL HILAL,MORRISON ATUPIA

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kimeibuka na ushindi wa mabao 4-1  dhidi ya Al Hilal kwenye mchezo wa Simba Super...

MTIBWA SUGAR AKILI ZOTE NI LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba utapambana kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwenye mzunguko wa pili.Mtibwa Sugar ipo chini ya Kocha...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AL HILAL YA SUDAN

0
 HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Al Hilal mchezo wa mashindano ya Simba Super Cup,  Uwanja wa Mkapa.Mchezo wa...

TP MAZEMBE WAWASILI SALAMA TANZANIA

0
 KIKOSI cha TP Mazembe kutoka Congo tayari kimewasili ndani ya ardhi ya Bongo kwa ajili ya kushiriki Simba Super Cup.TP Mazembe ni miongoni mwa...

CHEKI PICHA ZA MAJEMBE YA KAZI NDANI YA YANGA

0
 BAADA ya kumalizana na watu wawili wa kazi Kwenye benchi la ufundi picha zao tofauti zilikuwa namna hii:-

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MZIMBWABE MWINGINE TENA

0
 CULVIN Mavhunga ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba.Yeye anakuwa ni mtaalamu wa kuchambua viwango vya timu ya...

YANGA YAWATANGAZA RASMI NIZAR, NA KOCHA MGHANA

0
KATIKA harakati za kuimarisha zaidi benchi lao la ufundi kuelekea mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, Klabu ya Yanga leo imewatangaza rasmi makocha...