SPURS YAFANYA KWELI MBELE YA MANCHESTER CITY
IKIWA ametoka kusaini dili jipya la kuinoa timu ya Manchester City kwa miaka miwili, Pep Guardiola ameanza na kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa...
VITA YA LIVERPOOL YENYE LUNDO LA MAJERAHA V LEICESTER CITY YAMOTO
LEO Liverpool ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England Uwanja wa Anfield majira ya saa...
NYUMA YA JONAS MKUDE KUKOSEKANA KIKOSINI SABABU NI UTOVU WA NIDHAMU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa sababu kubwa iliyofanya kiungo wake namba moja ndani ya Simba, Jonas Mkude kukosa mchezo wa jana...
CHELSEA WAKIWASHA LIGI KUU ENGLAND
NEWCASTLE United ikiwa Uwanja wa St James Park ilikubali kuyeyusha pointi tatu mazima baada ya kukubali kichapo cha mabao 0-2 dhidi ya Chelsea. Chelsea chini...
COASTAL UNION YATAJA SABABU YA KUFUNGWA MABAO 7-0 NA SIMBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa hawezi kubadilisha matokeo aliyoyapata kwa timu yake kufungwa mabao 7-0 dhidi ya Simba kwa kuwa...
MSOME BENZEMA MFALME WA REAL MADRID
KATI ya wachezaji mahiri zaidi kwenye Ligi Kuu ya Hispania, La Liga yupo mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema. Madrid imekuwa na wachezaji wengi sana mahiri na alipoondoka mshambuliaji Cristiano...
BOSI SIMBA AWACHOKONOA KIMTINDO YANGA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama amepiga kijembe kwa watani wao wa jadi, Yanga, hiyo ni baada...
DILI LA FEI TOTO KUIBUKIA TP MAZEMBE LASHIKA KASI, DAU LATAJWA
DILI la kujiunga na TP Mazembe ya DR Congo, la kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limenoga zaidi huko Yanga, ambapo taarifa zimeeleza kuwa...
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA
NOVEMBA 22, leo Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa 11 kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu kwenye viwanja viwili...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumapili