MWALIMU KASHASHA AIPA PONGEZI GLOBAL GROUP, AWATAJA WATATU WACHAPAKAZI
MCHAMBUZI nguli wa masuala ya soka nchini, kwenye kituo cha radio cha TBC Taifa, Mwalimu Alex Kashasha, amefunguka kuwa, hakuwahi kuhisi kama kampuni ya...
CLATOUS CHAMA AITWA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
NYOTA wa Klabu ya Simba, Clatous Chama ameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia ili akaitumike timu yake hiyo maarufu kama Chipolopolo.Kwa sasa timu...
SAMATTA KUIKOSA TUNISIA NOVEMBA 13
IMEELEZWA kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachovaana na timu ya Taifa ya Tunisia Novemba 13.Mbwana...
KAZE ABAINISHA MKAKATI NAMBA MOJA WA YANGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa malengo makubwa kwa msimu wa 2020/21 ni kuendelea kupata pointi tatu kwenye mechi zote watakazocheza ili kutwaa ubingwa wa...
JOSE MOURINHO ATAJA KIKOSI CHAKE BORA CHA MUDA WOTE, DROGBA NDANI
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs ametaja orodha ya wachezaji wake 11 bora wa muda wote ambao amewahi kufanya nao kazi huku nane kati...
HESABU ZA SIMBA KWA SASA NI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wameweka wazi kuwa hesabu zao kubwa kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.Msimu uliopita...
BEKI WA YANGA MWAMNYETO AWAPOTEZA WOTE BONGO,ONYANGO,WADADA
BAKARI Mwamnyeto, nahodha msaidizi wa Yanga, ameweka rekodi ya dakika 810 ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwapoteza mabeki wote ndani ya Bongo ambao...
CHAMA KUSEPA SIMBA, YANGA YATAJWA MCHORO UPO HIVI
CLATOUS Chama, kiungo mtengeneza mipango namba moja ndani ya Klabu ya Simba inaripotiwa kwamba msimu ujao anaweza akasepa ndani ya kikosi hicho kutokana na...
DUBE ATAJA KINACHOWAPA UGUMU NDANI YA LIGI KUU BARA
KINARA wa utupiaji ndani ya Klabu ya Azam FC, Prince Dube amesema kuwa viwanja vingi vya mkoani ni vibovu jambo ambalo linawapa ugumu kwenye...
ISHU YA PENALTI YA DABI, MWAMUZI FIFA AFUNGUKA NAMNA HII
UTATA wa penalti waliyoipata Yanga Novemba 7 kwenye mchezo dhidi ya Simba, umezidi kuwa mkubwa kiasi cha Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Soud Abdi Mohammed ambaye...