MBELGIJI WA YANGA KUTUA LEO

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael anatarajiwa kutua leo kwa ajili ya kuendelea kibarua chake majira ya saa 7:20 mchana.Eymael alielekea Ubelgiji baada ya...

OLE GUNNAR APANGA KUMTUMIA POGBA NA BRUNO

0
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa amepanga kumtumia kiungo wake Paul Pogba kucheza namba 10 sambamba na kiungo Bruno Fernandes.Pogba...

RAIS LA LIGA AELEZA MTAZAMO WAKE KUHUSU USHIRIKIANO NA YANGA

0
RAIS wa Kampuni ya La Liga ya Hispania, Javier Tebas ameeleza jinsi La Liga inavyoutazama ushirikiano huo kwa manufaa makubwa.Katika taarifa yake kwa vyombo...

NYOTA SABA WAIPASUA KICHWA AZAM FC

0
YAKUB Mohamed, Daniel Amoah na Razack Abarola wachezaji hawa kwa sasa bado wapo Ghana.Pia, Bruce Kangwa, Never Tigere na Donald Ngoma hawa wapo Zimbabwe...

YANGA WAIFUATA MWADUI FC

0
KIKOSI cha Yanga kilicho chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa ndinga kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara...

ARSENAL YAITAKA TOP 4

0
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kipo fiti zaidi ya kilivyokuwa awali. Malengo yao ni kuisaka Top 4.Arteta amesema...

KOCHA WA YANGA AKOSA DILI KISA KIINGEREZA

0
KOCHA wa zamani wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa amekosa nafasi ya kwenda kuinoa Klabu ya Township Rollers  kutoka Goborone nchini Botswana...

SIMBA YATUA KWA MUUAJI WAO NA YANGA,GSM YAANZA NA MASTAA HAWA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

MBEYA CITY YAGOMA KUSHUKA DARAJA

0
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mapambano ya ligi kwa mechi ambazo zimebaki.Mbeya City...

YANGA WAMALIZANA NA STRAIKA ,MBELGIJI SIMBA AMKOMALIA CHAMA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
KESHO ndani ya Gazeti la Championi Jumatano, usipange kukosa nakala yako