BETIKA MUONEKANO WAKE WA MBELE UPO NAMNA HII, JIPATIE NAKALA YAKO BURE KABISA
GAZETI LA Betika Lipo Mtaani nakala yake ni Bure kabisa ni maalumu kwa Takwimu na habari za kimataifa za michezo pia kuna matangazo ya...
HIZI HAPA LEO TIMU 14 UWANJANI KUSAKA POINTI TATU
LIGI Kuu Bara leo Februari,5,2020 inaendelea na leo timu 14 ziakuwa kazini kuzisaka pointi tatu muhimu.Ratiba yao ipo namna hii:- Namungo v Alliance, Majaliwa.Ndanda...
KOCHA POLISI TANZANIA AFICHUA KILICHO NYUMA YA KUSHINDWA MBELE YA SIMBA
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa mchezo wake wa jana Februari,4 mbele ya Simba ulikuwa ni mzuri walichoshindwa ni uzoefu tu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO, LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Lipo mtaani
VIRGIL VAN DIJK KUONDOKA LIVERPOOL
HUKO ughaibuni, taarifa inayosambaa kwa kasi ni Juventus kujipanga kumng’oa beki wa Liverpool, Virgil van Dijk katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya...
MCHEZAJI COASTAL UNION ALIVYOWAFANYIA KITU MBAYA SIMBA
Jumamosi iliyopita kikosi cha Simba kilipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...
FRAGA AWEKA AHADI NYINGINE SIMBA
KIUNGO mkabaji wa Simba, Mbrazili Gerson Fraga, ametamba kwamba ataendelea kufunga mabao kwenye ligi kila mara atakapokuwa akipata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi...
KISA YANGA MZAMIRU HALI TETE SIMBA
KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin, ataendelea kuzikosa mechi za timu hiyo, kutokana na kusumbuliwa na tatizo la goti analodaiwa kuumia katika mchezo wa Ligi...
VPL: SIMBA 1-1 POLISI TANZANIA
Simba 1-1 Polisi TanzaniaSabilo gool dk 22Bocco Goaal dk 56MPIRA kati ya Simba na Polisi Tanzania ya Moshi Uwanja wa Taifa ni kipindi cha...
NYOTA MPYA WA MANCHESTER UNITED APEWA MUDA WA MWEZI MMOJA NA KOCHA WAKE
QUIQUE Sanchez, aliyekuwa Kocha Mkuu wa nyota mpya wa Manchester United, Odion Ighalo amesema kuwa itamchukua muda wa mwezi mmoja mchezaji huyo kufikia mafanikio...