video
VIDEO: LUIS AINGIA ANGA ZA AL AHLY, DONGE LAWEKWA MEZANI
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone anatajwa kuingia anga za Al Ahly ya Misri ambayo inahitaji kuinasa saini yake kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.