Simba SC
BREAKING: MUGALU MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA
BREAKING: Mshambuliaji wa Simba Chris Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara.
Ndani ya mwezi Julai, Mugalu aliweza kufunga mabao matano katika mechi tano ilishinda mechi tatu, sare moja na ilipoteza mchezo mmoja.
Aliwashinda wawili alioingia nao fainali ambao ni Charlse Ilanfya wa KMC na Juma Luizio wa Mbeya City.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.