Yanga SC

NABI AMPOTEZA GOMES NA MATHIAS MAZIMA

admin July 27, 2021 9:43 am


 NASSREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha bora kwa mwezi Julai ndani ya Ligi Kuu Bara.

Kocha huyo ametangazwa baada ya kuwashinda washindani wake ambao aliingia nao hatua ya fainali kwa kufanya vizuri kwenye mechi zake za ligi ambazo zilikuwa ni tatu.

Katika michezo mitatu, Nabi aliongoza kushinda mechi mbili na alikusanya sare moja.

Ametwaa tuzo hiyo baada ya kumshinda Didier Gomes wa Simba pamoja na Mathias Lule wa Mbeya City.

VIDEO: KUMBE YANGA WALIAHIDIWA BILIONI 15, MZEE MPILI ATOBOA BREAKING: MUGALU MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply