SAKATA LA MKUDE NA SIMBA LIMEFIKIA HAPA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa suala la kiungo wa Simba, Jonas Mkude litatolewa ufafanuzi wiki ijayo na kuwataka mashabiki watulie.Mkude alisimamishwa na Simba Desemba...

NYOTA GWAMBINA KUMRITHI DUBE NDANI YA AZAM FC

0
 MTUPIAJI namba moja wa timu ya Gwambina FC, Meshack Abraham mwenye mabao 6 ameingia kwenye rada za Azam FC ambao kwa sasa wanamsaka mbadala...

VPL:SIMBA 3-0 IHEFU

0
 KIPINDI cha kwanza Simba 3-0 IhefuUwanja wa MkapaDakika ya 40 Kagere goaaaalDakika ya 39  Mahadhi anapiga on target inaokolewa na ManulaDakika ya 30 Dida anaokoa...

KIKOSI CHA IHEFU FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

0
 KIKOSI cha Klabu yaa Ihefu FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  Zuber Katwila kitakachoanza leo Desemba 30 dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA IHEFU FC

0
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Desemba 30 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili

NYOTA HAWA NI MWENDO WA NNENNE NDANI YA LIGI KUU BARA

0
 LIGI Kuu Tanzania Bara ikiwa inaingia mzunguko wa pili yamefungwa jumla ya mabao 267 huku timu yenye mabao mengi ni Simba.Kinara wa kutupia mpaka...

SIMBA KUMBE YAWATISHA WAZIMBABWE KIMTINDO

0
 ILE kauli mbiu ya Simba kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum ijulikanayo kama War in Dar, kwa...

WAWILI NAMUNGO KUIKOSA COASTAL UNION KESHO

0
 NAMUNGO FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morroco kesho Desemba 31 itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union.Mchezo wa kwanza...

MBELGIJI SIMBA AKWAA KIZINGITI CHA KUFUNGIA MWAKA

0
 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanakutana na ngoma nzito ya kufungia mwaka 2020 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja...

MTIBWA SUGAR YATUMA UJUMBE KWA RUVU SHOOTING

0
 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting ambao utakuwa ni wa...