TRENT ALEXNDER WA LIVERPOOL NJE KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND

0
 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England Liverpool wanazidi kuingia kwenye majanga baada ya jana Novemba 8 beki wao Trent Alexander Arnold kupata majeraha ya misuli...

YANGA YAMTAJA ALIYEVURUGA MIPANGO YAO KWA MKAPA

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kuumia kwa beki wake kisiki Lamine Moro kulivuruga hesabu zake na kufanya umakini kwa safu ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu

TANZANIA YATAKATA COSAFA YAINYOOSHA AFRIKA KUSINI KWA MABAO 6-1

0
 TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 leo Novemba 8 imeibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya timu ya...

POCHETINO ATAJWA KURITHI MIKOBA UNITED

0
INAELEZWA kuwa kocha anayefuata ndani ya Klabu ya Manchester United ni Mauricio Pochentino ambaye kwa sasa hana timu baada ya kufutwa kazi ndani ya...

RUVU SHOOTING: WANAOTUBEZA TUTAWAKUNG’UTA NA KUWAPAPASA

0
 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wale ambao wanawabeza kuhusu uwezo wao wakikutana ndani ya uwanja watawapapasa na kuwakung'uta.Ruvu Shooting imecheza...

YANGA YAITUMIA DONGO KIMTINDO SIMBA ISHU YA WACHEZAJI WAKE

0
 ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga amesema kuwa wachezaji wa Simba walicheza chini ya kiwango kwenye mchezo wa dabi jana Novemba 7...

AZAM FC BADO INAFIKIRIA UBINGWA

0
 RICHARD Djod, kiungo wa Azam FC amesema kuwa kazi kubwa iliyobaki kwa wachezaji ni kutimiza majukumu ndani ya uwanja kwa kupata matokeo chanya.Azam FC...

KISA SARE, SIMBA YATAJA WACHEZAJI WALIOCHEZA CHINI YA KIWANGO

0
 IMEELEZWA kuwa sare ya jana kwa Simba kuipata Uwanja wa Mkapa ya kufunagana bao 1-1 dhidi ya Yanga ilitokana na baadhi ya wachezaji wa...

SIMBA: TUNACHUKUA TENA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

0
 SHOMARI Kapombe, beki wa kulia mzawa ndani ya Simba ambaye pia jina lake limetajwa kwenye majina ya wachezaji 27 kwa wachezaji wa timu ya...