Home Uncategorized YANGA WAIFUATA MWADUI FC

YANGA WAIFUATA MWADUI FC



KIKOSI cha Yanga kilicho chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa ndinga kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Juni 13, Uwanja wa Kambarage.

Yanga ipo nafasi ya tatu kibindoni ina pointi 51 baada ya kucheza mechi 27.

Mwadui ipo nafasi ya 12 baada ya kucheza mechi 28 kibindoni ina pointi zake 34.

SOMA NA HII  PRINCE DUBE WA AZAM FC AWEKA REKODI YA KIBABE