Home Habari za michezo NGAO YA JAMII WANAWAKE KIVUMBI LEO FAINALI

NGAO YA JAMII WANAWAKE KIVUMBI LEO FAINALI

JKT Queens na Simba Queens zinashuka dimbani Dar es Salaam leo katika fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2023.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex ulipo Chamazi.

Kabla ya fainali kutafanyika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu na nne kati ya Yanga Princess na Fountain Gate Princess.

SOMA NA HII  HAPA SIMBA PALE YANGA HII NDIO LIGI YA REKODI SASA