Home Habari za michezo MAYELE ALISTAHILI TUZO MBELE YA HUYU MWAMBA

MAYELE ALISTAHILI TUZO MBELE YA HUYU MWAMBA

Habari za Michezo

Mchambuzi wa soka nchini Tanzania na mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Amri Kiemba amesema Fiston Mayele alistahili kupata tuzo mbele ya Percy Tau kutokana na mafanikio aliyoyapata msimu uliopita.

Kiemba anasema kilichombeba zaidi Tau ni mafanikio ya timu lakini kama wangekuwa wanaangalia mafanikio ya mtu binafsi basi Fiston Mayele alikuwa anastahili kubeba ile tuzo.

SOMA NA HII  MANARA TENA....BAADA YA KUMLIPUKIA WAZIRI MCHENGERWA...LEO AIBUKA NA HILI JIPYA...ADAI ALIINGIA KICHWA KICHWA....