Home Uncategorized U 17: TANZANIA 3-0 BURUNDI

U 17: TANZANIA 3-0 BURUNDI


Tanzania 3-0 Burundi
Goool : Aisha Masaka dakika ya 7 na 10
Goaal: Joyce Meshack dakika ya 33

Mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake U 17 dhidi ya Burundi unaendelea Uwanja wa Taifa.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza, mashabiki wamejitokeza kiasi chake uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu ya Taifa, U 17.

Tanzania ipo mbele kwa mabao matatu yaliyopachikwa kimiani na Aisha Masaka 7 na 10 na la tatu limepachikwa kimiani na Joyce Meshack dakika ya 33.

Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia kwa Wanawake nchini India,2021.

SOMA NA HII  ISHU YA RAIS WA BARCELONA KUBWAGA MANYANGA, MESSI ATAJWA