KIGWANGALLA AOMBA YAISHE KWA MO
Anaandika Hamisi Kigwangalla NILIKUTANISHWA na Mohammed Dewji na baba yake, Mzee GMD. Kipindi hicho tuki-supply MeTL marobota ya pamba kutoka kiwandani kwetu. Alikuwa Mbunge wa Singida...
LIGI KUU BARA LEO RATIBA
LEO Novemba 21, Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kwa michezo minne kupigwa Kwenye viwanja vinne tofauti.Mambo yapo namna hii:-Polisi Tanzania v Ihefu, Azam Complex, ...
WAWILI WA SIMBA KUIKOSA COASTAL UNION LEO
MEDDIE Kagere na Luis Miquissone wawili hawa wanatarajiwa kukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,...
YANGA HAWAPOI, WAWAJIBU WAPINZANI WAO SIMBA
KLABU ya Yanga imewajibu watani wao Simba baada ya kuhamishia ofisi zake Mtaa wa Samora Avenue, Posta jijini Dar es Salaam, badala ya Makao...
AZAM MEDIA YABORESHA HUDUMA,YAZINDUA KISIMBUSI CHA DIGITAL
KAMPUNI ya Azam Media imefanya maboresho makubwa kwa wateja wake wote nchini na nchi jirani sambamba na kutambulisha Visimbuzi vya Kidigitali.Uzinduzi huo ulifanyika usiku...
SIMBA WATUA KWA BEKI WA KIMATAIFA,TONOMBE, CARLINHOS WALISHWA KIAPO,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
RUVU SHOOTING WAMOTO WAKIWA UHURU, WAICHEZESHA PIRA GWARIDE MBEYA CITY
ABDULHAMN Mussa, nyota wa Klabu ya Ruvu Shooting leo amekuwa shujaa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru wakati timu yake ikiibuka...
ISHU YA MABADILIKO, SIMBA YAKUBALI KUFUATA TARATIBU ZA SERIKALI
SUALA la mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba limeendelea kuleta picha mpya baada ya uongozi wa timu hiyo kujibu waraka kuhusu kukwama kwa mchakato...
NAMUNGO WAJICHIMBIA VISIWANI KUIVUTIA KASI YANGA NA SUDAN KUSINI
TIMU ya Namungo FC imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya kujiwinda na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itacheza dhidi ya Al Rabita...
TANZANIA PRISONS YATOSHANA NGUVU NA MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha Tanzania Prisons leo Novemba 20 kimelazimisha sare ya bila kufungana na timu ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...