MASHABIKI PREMIER KUREJEA KUSHUHUDIA BURUDANI KWENYE DABI
HUENDA mashabiki wa Ligi Kuu England wakaruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo kati ya Tottenham dhidi ya Arsenal ikiwa tu maambukizi ya Virusi vya Corona...
KILICHOMCHIMBISHA HITIMANA THIERY NDANI YA NAMUGO CHATAJWA
MATOKEO mabovu kwa msimu wa 2020/21 yanatajwa kuwa ni sababu ya Hitimana Thiery aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo kufutwa kazi jumlajumla.Ndani ya...
FIFA KUIPA LIVERPOOL MKWANJA MREFU SABABU YA GOMEZ
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), linataka kuilipa Klabu ya Liverpool ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la Ligi Kuu England kiasi cha pauni...
YANGA WAINGILIA KATI DILI LA MUKOKO KUIBUKIA SIMBA
MABOSI wa Yanga wameweka wazi kuwa watamuongezea mkataba kiungo bora ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kwa mwezi Oktoba, Tonombe Mukoko...
PSG YAINGA ANGA ZA RAMOS, KUMPA MKATABA WA MIAKA MINNE
SERGIO Ramos beki mahiri ndani ya Klabu ya Real Madrid inayoshiriki La Liga ambaye ni mpiga penalti wao pia namba moja amewekwa kwenye rada...
YANGA YAIBUKIA KWA MUUAJI WA SIMBA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wamekumbushia dili lao la kumpata kiungo mshambuliaji mzawa, Gerald Mdamu ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Klabu ya Biashara...
NYOTA WAWILI SIMBA WAWEKWA NJE YA MPANGO WA SVEN MAZIMA
INAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Simba Charles Ilanfya na kiungo mkata umeme Gerson Fraga hawapo kwenye mipango ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kutokana na sababu...
YANGA YATANGAZA ZABUNI KWA AJILI YA UJENZI WA UWANJA NA HOSTEL
UONGOZI wa Yanga umetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa Hostel za timu hiyo ambazo zitajengwa Kigamboni pamoja na uwanja wa mazoezi.Taarifa rasmi ambayo...
AZAM FC WAINYOOSHA KMKM MABAO 2-0
AZAM FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Novemba 18 Uwanja wa Chamazi. Mabao...
YANGA YATUA KWA STRAIKA MATATA,SIMBA NAO HAWAJAPOA,NDANI YA SPOTI XTRA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi