RUVU SHOOTING:TUNAPIGA MPIRA MWINGI KAMA BARCELONA VILE
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kinapiga mpira mwingi ndani ya uwanja jambo ambalo linawapa matokeo mazuri.Ruvu Shooting imekuwa...
YANGA YAIPIGA MKWARA SIMBA KUELEKEA DABI NOVEMBA 7, YAWAITA MASHABIKI
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa Novemba 7 kushuhudia namna watakavyotoa burudani kwa wapinzani wao Simba kwenye dabi...
MWAKINYO KUTETEA UBINGWA WA WBF DHIDI YA MUARGENTINA
BONDIA mzawa, Hassan Mwakinyo amebadili ratiba ya mazoezi na sasa anajifua masaa manne kwa siku ikiwa ni maandalizi ya pambano lake dhidi ya Muargentina...
MKATA UMEME WA SIMBA NJE YA UWANJA MIEZI SITA, KUIKOSA DABI
KIUNGO mkabaji wa Simba, raia wa Brazil Gerson Fraga maarufu kama mkata umeme kwa sasa atakuwa nje kwa msimu mzima kutokana na kuendelea kutibu...
ARSENAL YAMUWEKA KWENYE MPANGO ELNEY
ARSENAL ipo kwenye mpango wa kuongeza mkataba kiungo Mohamed Elney kwa ajili ya kuendelea kukitumikia kikosi hicho kwa msimu ujao.Kiungo huyo raia wa Misri...
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA KWA SASA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa kwa msimu wa 2020/21 huu hapa
AZAM FC KWENYE MTIHANI LEO KUISHUSHA YANGA KILELENI
LEO Novemba 5 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga kwa timu sita kusaka pointi tatu uwanjani.Azam FC ambao wapo nafasi ya pili na...
PILATO WA DABI YA YANGA V SIMBA HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa mmoja kati ya waamuzi hawa wanne atakuwa ni mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya...
KAGERE HATIHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7, ISHU YA MUGALU IPO HIVI
MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Simba kunahatihati akaikosa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7 Uwanja wa Mkapa.Kagere ametupia...
NYOTA YANGA AUKACHA MPIRA, AIBUKIA KWENYE MASUALA YA UKULIMA
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, Malimi Busungu ambaye aliwika sana na kikosi hicho mara baada ya kusajiliwa amesema kuwa kwa sasa anafanya...