KUMBE MWINYI ZAHERA ALIIBUKIA KAMBI YA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, inaelezwa kuwa alivamia kambi ya timu yake hiyo ya zamani kwa ajili ya kwenda kusalimia wachezaji wa...
LIGENDI DIEGO AFANYIWA UPASUAJI WA UBONGO
LIGENDI wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa mujibu wa daktari wake upasuaji huo umefanikiwa na anaendelea...
PRINCE DUBE, OBREY CHIRWA NA KISSU WAINGIA KWENYE VITA MPYA
NYOTA wa Azam FC wanaingia kwenye vita ya kuwania tuzo ya mwezi Septemba na Oktoba baada ya uongozi wa matajiri hao wa Dar es...
RASMI MUANGOLA WA YANGA KUIKOSA SIMBA NOVEMBA 7
IMEELEZWA kuwa nyota namba moja ndani ya Yanga kwa uzalishaji wa mabao kwa wageni Carlos Carlinhos hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Simba, Novemba 7,...
SIMBA YAIBAMIZA KAGERA SUGAR, YATUMA SALAMU KWA YANGA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Novemba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo...
HESABU ZA FOUNTAIN GATE NI NDEFU KWELI
UONGOZI wa timu ya Fountain Gate umeweka bayana kuwa maisha yao ndani ya Ligi Daraja la Kwanza hayatakuwa marefu kwa kuwa mpango wao namba moja...
ZILIZOSHUKA LIGI KUU BARA ZINA MAISHA MAGUMU FDL
TIMU nne ambazo zilikuwa zinashiriki Ligi Kuu Bara maisha yao ndani ya Ligi Daraja la Kwanza, (FDL) ni magumu kwa kuwa bado hazijaonyesha matumaini...
VPL: SIMBA 2-0 KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Simba kimetangulia leo ndani ya dakika 45 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru dhidi ya Kagera Sugar.Kwa sasa tayari...
TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YAPIGA MTU MKONO AFRIKA KUSINI
Saleh JembeLEO Novemba 4 kikosi cha Timu ya Wasichana chini ya Miaka 17 cha Tanzania kimeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Comoros...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Novemba 4 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Uhuru.