TANZANIA U 20 YAAMBULIA KICHAPO CHA MABAO 2-1 DHIDI YA SUDAN
TIMU ya Taifa ya Tanzania, chini ya miaka 20 leo Novemba 11 imekubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan.Mchezo...
MSHAURI WA YANGA, SENZO MATATANI KISA MATOKEO MABOVU YA SIMBA
IMEELEZWA kuwa aliyekuwa Mtedaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mbatha anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay kwa tuhuma za kuihujumu Simba.Habari zimeeleza...
YANGA MZIGONI NOVEMBA 15, AZAM COMPLEX
BAADA ya kikosi cha Yanga kumalizana na Simba Novemba 7 Uwanja wa Mkapa kwa sare yakufungana bao 1-1 na wachezaji kupewa mapumziko kesho Novemba...
SIMBA WAPO KWENYE HESABU ZA KUMVUTA NDANI KIUNGO HUYU MATATA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye mchakato wa kuongeza kiungo mkabaji ndani ya timu hiyo ambayo inaiwakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika...
PRINCE DUBE WA AZAM FC NA FAMILIA YAKE MAISHA YANAENDELEA
PRINCE Dube akiwa na familia yake nchini Zimbabwe ambapo ameitwa timu ya Taifa ya Zimbabwe.Nyota huyu anakipiga timu ya Azam FC vinara wa Ligi...
WASHAMBULIAJI WAWILI STARS KUIKOSA TUNISIA
ADAM Adam mshambuliaji anayeongoza kwa mabao kwa upande wa wazawa katika Ligi Kuu Tanzania Bara akiwa nayo 6 hakuambatana na timu ya Taifa ya...
POCHETTINO ATAJWA KUIBUKIA ATHLETIC BILBAO KUBEBA MIKOBA YA GARITANO
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Tottenham kwa sasa anahusishwa kujiunga na Klabu ya Athletic Bilbao ili kubeba mikoba ya kocha Gaizko Garitano ambaye...
KASHASHA: CHAMA ATAWASAIDIA YANGA KUTOKANA NA UBORA
MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo nyota wa Klabu ya...
SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA CHAMA KUIBUKIA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa nyota wao Clatous Chama ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa kuwa ni mali yao.Chama mwenye mabao...
YANGA YATAJA ALIYEWAYEYUSHIA USHINDI DAR DABI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kutokuwepo kwa nyota wake mtengeneza mipango namba moja kwa wageni Carlos Carlinhos ni miongoni mwa sabab...