YANGA YATUPIA MABAO 11, SIMBA 21,CHEKI MWENDO WAO ULIVYO
LEO Novemba 7 Uwanja wa Mkapa ni Dar, Dabi kati ya Yanga v Simba saa 11:00 ikiwa ni ya kwanza kwa msimu wa 2020/21...
KANE AFIKISHA MABAO 200
NYOTA wa Klabu ya Tottenham Hotspur Harry Kane ameweka rekodi ya kufikisha jumla ya mabao 200 klabuni hapo.Kane alifikisha idadi hiyo baada ya kufunga...
NAMNA CHAMPIONI JUMAMOSI ILIVYOPANGA KIKOSI CHA KWANZA CHA YANGA LEO
NAMNA gazeti la CHAMPIONI Jumamosi lilivyopanga kikosi cha Yanga leo Novemba 7 ukurasa wa mbele
MAPILATO WA YANGA V SIMBA ACHA KABISA, KADI NYEKUNDU, PENALTI, ZIPO
UNAAMBIWA waamuzi wa leo wa mchezo wa Yanga na Simba utakaopigwa Uwanja wa Mkapa, kwao kutoa penalti na kadi nyekundu sio ishu ikiwa mchezaji...
NUNO ANA FURAHA KUMUONA DIOGO AKIFANYA YAKE LIVERPOOL
KOCHA Mkuu wa Wolves, Nuno Espirito Santo amesema kuwa ana furaha kubwa kumuona nyota wake wa zamani Diogo Jota akifanya vizuri ndani ya kikosi...
YANGA: SIMBA KUTUFUNGA KAZI IPO, LABDA WAIBE MATOKEO
UONGOZI wa Yanga umeweka bayana kuwa watani zao wa jadi Simba leo kuwafunga itakuwa ngumu labda waibe matokeo kwa kuwa kikosi kimekamilika kila idara.Yanga...
DAR DABI, CHEKI KOSI MATATA LA YANGA
LEO ni Dar Dabi Uwanja wa Mkapa saa 11:00 ambapo joto la mechi hiyo linazidi kuwa juu kadri muda unavyomeguka.Ni dakika 90 za nguvu...
MPANGO WA SVEN NA KOSI LAKE DHIDI YA YANGA UPO HIVI
BAADA ya kutumia dakika 180 kuokota mabao mawili kwenye nyavu zao, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wanakaribishwa na watani zao wa...
DABI YA LEO, SIMBA PRESHA TUPU, YANGA WANAPETA TU
LEO saa 11:00 ni muda wa mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa wa kihistoria Yanga.Hii...
SURE BOY: WACHEZAJI TUPO TAYARI KWA USHINDANI
SALUM Abubakari, nyota wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani wa Ligi Kuu Bara jambo ambalo linawafanya...