ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU JONAS MKUDE
ANAANDIKA Haji Manara Ofisa Habari wa Simba kuhusu Jonas Mkude:-Msimu wa kumi huu wa kiungo fundi Jonas Gerald Mkude ndani ya kikosi cha kwanza...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
NAHODHA WA SIMBA JOHN BOCCO CHINI YA UANGALIZI MAALUMU
NAHODHA wa Simba ambaye ni mfungaji mzawa mwenye mabao zaidi ya 100 kibindoni ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa yupo chini ya uangalizi...
DODOMA JIJI YATOSHANA NGUVU NA MBEYA CITY LEO
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Oktoba 16 wa mzunguko wa sita kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Jamhuri...
VIDEO: NAMNA YANGA WALIVYOMALIZANA NA KAZE
NAMNA Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze alivyomalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili leo Oktoba 16 akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic Kaze amesaini...
KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
Usikose nakala yako ya Gazeti la Championi Jumamosi kesho Oktoba 17
SIMBA KAZINI KESHO UWANJA WA AZAM COMPLEX, KIINGILIO BUKU 5
KESHO Oktoba 17 kikosi cha Simba kitashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na...
JINA LA KELVIN YONDANI LATAJWA YANGA
KOCHA mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amemtaja aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani kuwa ni mmoja kati ya wachezaji wenye heshima kubwa kwake...
PACHA YA CHIRWA NA DUBE INA MOTO KWELI
PACHA ya nyota wawili ndani ya Klabu ya Azam FC imeweza kujibu ndani ya uwanja kutokana na kuwa na maelewano makubwa ndani ya uwanja.Mpaka...
SIMBA YAZUNGUMZIA POINTI ZA YANGA
KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, ameweka wazi kwamba licha ya kukosa kucheza na Yanga Oktoba 18, mwaka huu lakini anaamini watazipata pointi...