WAWILI WASEPA NA TUZO AFRIKA KUSINI MASHINDANO YA Cosafa
NYOTA wawili Watanzania ikiwa ni mmoja kutoka Timu ya Taifa ya Tanzania ya U 17 na mmoja kutoka Twiga Stars wameibuka na tuzo mbili...
ORODHA YA NYOTA 27 WA TIMU YA TAIFA ILIYOITWA NA KOCHA MKUU NDAYIRAGIJE
HII hapa Orodha ya wachezaji 27 wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars walioitwa na Kocha Mkuu Etiene Ndayiragije kwa ajili ya maandalizi...
KIBARUA CHA KOCHA MANCHESTER UNITED MASHAKANI
KIBARUA cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha. Hatua hiyo inakuja ikiwa baada ya...
WAKATI CARLINHOS AKIIKOSA SIMBA, NIYONZIMA AREJEA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos anatarajia kuukosa mchezo wa dabi ya Simba na Yanga utakaochezwa kesho huku kiungo Haruna Niyonzima, akirejea kwa nguvu...
ISHU YA VIPIGO VIWILI ILIWAVURUGA KWELI SIMBA
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck, amesema kuwa vipigo viwili walivyopata kwenye mechi zao za...
MTIBWA SUGAR YAPANIA KUFANYA MAKUBWA 2020/21
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wana imani ya kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kutokana...
YANGA: TUNAUTAKA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kuwa malengo yao wakiwa ni wachezaji msimu huu ni kuhakikisha wanaipatia ubingwa timu hiyo. Yanga msimu huu imeanza ligi...
RUVU SHOOTING:TUNAPIGA MPIRA MWINGI KAMA BARCELONA VILE
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kinapiga mpira mwingi ndani ya uwanja jambo ambalo linawapa matokeo mazuri.Ruvu Shooting imekuwa...
YANGA YAIPIGA MKWARA SIMBA KUELEKEA DABI NOVEMBA 7, YAWAITA MASHABIKI
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa Novemba 7 kushuhudia namna watakavyotoa burudani kwa wapinzani wao Simba kwenye dabi...
MWAKINYO KUTETEA UBINGWA WA WBF DHIDI YA MUARGENTINA
BONDIA mzawa, Hassan Mwakinyo amebadili ratiba ya mazoezi na sasa anajifua masaa manne kwa siku ikiwa ni maandalizi ya pambano lake dhidi ya Muargentina...