MRITHI WA MIKOBA YA ZLATKO APEWA MAJUKUMU MAWILI NDANI YA YANGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haujamleta Kocha Mrundi, Cedric Kaze kwa ajili ya kuifunga Simba pekee, bali ni kuipa mataji mawili wanayoyashindania msimu huu...
AZAM FC WAFAFANUA SABABU YA CHIRWA KUACHWA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa suala la nyota wao Obrey Chirwa kuachwa na timu ya Taifa ya Zambia, amesababisha yeye mwenyewe.Kocha Mkuu wa...
YANGA KIGELEGELE AWAOMBA MASHABIKI KUACHA MIHEMUKO
SHABIKI maarufu wa Yanga, Anuary Wambura ‘Yanga Kigelegele’, amewataka mashabiki wa Simba na Yanga kupunguza mihemko wanapokuwa viwanjani ili kuepuka vurugu zisizo za lazima. Katika...
ISHU YA DABI KUPELEKWA MBELE YANGA WACHEKELEA
KUFUATIA Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuupeleka mbele mchezo wa dabi ya Kariakoo unaozikutanisha Simba na Yanga, viongozi wa klabu hizo wameibuka na...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
DAKIKA 180 KMC MAMBO NI MAGUMU
KIKOSI cha KMC ‘Wana Kino Boys’ kimezidi kuwa na majanga ndani ya dakika 180 baada ya kushindwa kufunga bao kwenye mechi zake mbili mfululizo...
TUIPE SAPOTI TIMU YETU YA TAIFA TUWEKE KANDO TOFAUTI ZETU
TAYARI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeingia kambini Oktoba 5 ikiwa ni maandalizi ya mechi ya kirafiki iliyo kwenye kalenda...
MWEZI NOVEMBA VIGONGO VITANO KWA SIMBA, YANGA NDANI
BAADA ya ratiba ya dabi iliyokuwa inatarajiwa kuchezwa Oktoba 18 kufanyiwa mabadiliko na Bodi ya Ligi Tanzania, (TBLB) kupelekwa Novemba 7, hii hapa ratiba...
KUMUONA MUANGOLA WA YANGA AKIFANYA YAKE KESHO DHIDI YA MWADUI BUKU 3
KESHO Oktoba 9 Klabu ya Yanga inayonolewa na Kaimu Kocha, Juma Mwambusi inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC.Mchezo huo wa kirafiki...