MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 

SIMBA YAPIGA 4G JKT TANZANIA, JAMHURI

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo...

MRITHI WA KOCHA YANGA HUYU HAPA

0
 JANA, Oktoba 3, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic alifungashiwa virago vyake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye...

MTIBWA SUGAR YABANWA MBAVU

0
 MTIBWA Sugar leo imeshindwa kumaliza Biashara mapema Uwanja wa CCM Kirumba baada ya kufungwa bao 1-0 mbele ya Biashara United. 

KIKOSI CHA JKT TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

0
 KIKOSI cha JKT Tanzania kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma 

VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA

0
 JKT Tanzania 0-3 SimbaUwanja wa Jamhuri, DodomaZinaongezwa 2Dakika ya 45 zimekamilikaKipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.Kipindi cha Kwanza mchezo...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA JKT TANZANIA

0
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhri, Dodoma

CAVAN KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

0
MANCHESTER United imekubali kupata saini ya mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavan kwa dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru.Ripoti zinaeleza kuwa mazungumzo ya...

MTAMBO WA MABAO YA VIWANJA VIGUMU NDANI YA SIMBA KUANZA LEO

0
 KOCHA Mkuu wa Simba,Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji amesema kuwa anaweza kumtumia nahodha wa kikosi hicho John Bocco kwenye kikosi cha leo kitakachomenyana na...

AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA KAGERA SUGAR LEO

0
 ABDULKARIM Amin, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wanahitaji kushinda kwenye mechi zote msimu huu ikiwa ni pamoja na mchezo wao...