NYOTA WENGINE SABA NDANI YA YANGA KUPEWA MIKATABA
KLABU ya Yanga ipo kwnye mpango wa uongezea mkataba nyota wake wengine saba amba mikataba yao inakaribia kufika ukingoni.Miongoni mwa nyota ambao wanakipiga ndani...
ARTETA AKUBALI UWEZO WA KIPA WAKE LENO
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa kia wake namba moja Bernd Leno alionyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa Carabao...
CHEKI KIKOSI CHA MUUNGANIKO WA YANGA V SIMBA 2020/21
BAADA ya mechi nne kikosi cha muungano wa Yanga dhidi ya Simba ambao wanakutana Oktoba 18 Uwanja wa Mkapa kipo namna hii:-Aishi Manula atakaa...
YANGA YAFUNGUKIA USHINDI WA BAO MOJAMOJA
JUMA Mwambusi, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa ushindi wanaoupata kwenye mechi za ligi wa bao mojamoja utafika kikomo hivi karibuni kwa kuwa bado...
KAGERA SUGAR YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA AZAM FC
YUSUPH Mhilu mtupiaji namba moja ndani ya Kagera Sugar ana kibarua kizito cha kuongoza kikosi chake kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam...
SIMBA YATAJA SABABU YA KUTUMIA BASI KUIFUATA JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya wao leo kuifuata JKT Tanzania, Dodoma kwa basi ni kutimza ombi la mashabiki wao wa Morogoro...
RUVU SHOOTING: TUTASHINDA TU MBELE YA DODOMA JIJI FC
UONGOZI wa timu ya Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa unajiamini katika uwezo wao na utapambana kupata matokeo chanya kwenye mechi yao dhidi ya Dodoma...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
RAUNDI YA TANO RATIBA KAMILI VPL HII HAPA
Ijumaa,Oktoba 2 Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri Dodoma saa 10:00 jioni.Oktoba 3Gwambina v Ihefu, saa 8:00 mchana.Namungo v Mwadui FC, Uwanja wa...