video
YANGA: HAJI NI MALI YETU, ONYANGO ANA MIAKA YA KENYA
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba yeye ni mali ya Yanga hivyo anakaribishwa ndani ya kikosi hicho.
Pia ameweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya kwa sasa wanaweza kufanya vizuri zaidi huku akibainisha kwamba nyota wa Simba Peter Banda ni mtoto na Onyango ana miaka 27 ya Kenya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.