AZAM FC WALITAKA KOMBE LA SIMBA MAPEMA
AZAM FC imesema kuwa malengo makubwa kwa msimu huu ni kushinda kila mechi ili kupata pointi tatu muhimu zitakazowapa nafasi ya kutwaa taji la...
KIGOGO SIMBA AIPA UBINGWA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa, katu wasitokee watu wa kuicheka Yanga kutokana na ushindi wa bao moja...
RUVU SHOOTING: KUHAMIA UHURU KUMETUONGEZEA GHARAMA, MASHABIKI HAWAJI
TIMU ya Ruvu Shooting yenye maskani yake Pwani, imesema kuwa kufungiwa kwa Uwanja wa Mabatini na Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) ili ufanyiwe maboresho...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
YANGA YAJIPIGIA BAO 2-0 KMKM AZAM COMPLEX
KIKOSI cha Yanga leo Septemba 30 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa...
KUWAONA STARS WAKIMENYANA NA BURUNDI BUKU TATU TU
SHIRIKISHO la Soka Tanzania,(TFF) limeweka wazi viingilio vya mchezo wa kirafiki uliopo kwenye ya kalenda ya FIFA utakaoikutanisha timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya...
MUANGOLA WA YANGA BALAA LAKE SIO LA MCHEZOMCHEZO
KIUNGO wa Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola amepewa jukumu moja kubwa ndani ya kikosi hicho kwa kupiga mipira iliyokufa ikiwa ni kona pamoja na...
BWALYA APEWA MAJUKUMU MENGINE NDANI YA SIMBA
BOSI wa benchi la ufundi la Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck, amembebesha majukumu mazito kiungo wake Mzambia Rarry Bwalya la kuhakikisha anaonyesha kiwango kwenye mechi...
MITAMBO HII YA MABAO NDANI YA SIMBA YAMPA JEURI SVEN
KASI ya ufungaji ya mastraika wawili wa Simba, Chris Mugalu na Meddie Kagere imempa kiburi kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kwa kusema kuwa...
MARCEL KAHEZA AFICHUA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO
MARCEL Kaheza mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Polisi Tanzania amesema kuwa kikubwa kinachoipa ushindi timu yake ni ushirikiano ambao wanauonyesha wachezaji wakiwa...