AZAM FC YAANZA KUJIWEKA MGUU SAWA KWA AJILI YA KUMENYANA NA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi ya kujiwinda na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex.Azam...
KMKM WATIA TIMU DAR, KIINGILIO BUKU TANO TU
TIMU ya KMKM SC ya Zanzibar imewasili leo Septemba 30 Dar tayari kwa mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Azam...
MWINYI ZAHERA: SIMBA INA KIKOSI BORA MSIMU WA 2020/21
KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina, Mkongomani Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa Simba wana kikosi imara kwa...
KUPOTEZA MBELE YA SPURS, LAMPARD HATA HAELEWI
FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa kupoteza kwake mbele ya Tottenham Hotspurs kumemvuruga kwa kuwa walianza kushinda ndani ya dakika 45 za...
PRINCE DUBE WA AZAM FC ALA SAHANI MOJA NA MEDDIE KAGERE WA SIMBA
BAADA ya Prince Dube kuifungia Azam FC bao la ushindi dhidi ya Tanzania Prisons ni wazi nyota huyo anakula sahani moja na washambuliaji kama...
MSUVA: CORONA IMECHANGIA KUSHUKA KWA THAMANI YA WACHEZAJI WENGI
THAMANI ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, anayeichezea Difaa El Jadida ya Morocco kwa sasa imeonekana kushuka kutoka Sh.2.4 bilioni hadi Sh.1.5...
SIMBA YAIPOTEZA JUMLAJUMLA YANGA KWA MKAPA
ZIKIWA zimebaki siku 17 kwa Yanga na Simba kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, rekodi zinaonyesha kuwa ndani ya dakika...
VITA YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA NI MOTO NDANI YA LIGI KUU BARA
IKIWA kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara ni mzunguko wa nne umekamilika huku zikichezwa jumla ya mechi nne ile vita ya kuwania kiatu bora...
DAVID KISSU AMPOTEZA MANULA JUMLAJUMLA
MLINDA mlango namba moja ndani ya Klabu ya Simba, Aishi Manula amenyooshwa mazima ndani ya dakika 360 alizokaa langoni na kipa namba moja wa...
YANGA KUMENYANA NA KMKM LEO AZAM COMPLEX
KIKOSI cha Yanga leo Septemba 30 kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya KMKM ya Zanzibar,utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex.Mchezo huo wa leo...