MESSI ANAWEZA KUIKOSA EL CLASICO NDANI YA BARCELONA
KOCHA mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga...
SIMBA YATAJA SABABU YA VIINGILIO KUWA BUKU TATU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya kuomba viingilio kushushwa kwenye mechi yao dhidi ya Biashara United ni kutaka kuanza sera yao ya...
WATANO WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga kwa sasa kipo Bukoba ambapo kiliwasili jana Septemba 17 na kuanza kufanya mazoezi kwa ajlili ya kujiwinda na Kagera Sugar.Mchezo huo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI
LEO Septemba 18, Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wadhamini wake wakuu ni Kampuni ya Vadacom inaendelea ambapo ni mzunguko wa tatu kwa sasa baada...
AZAM FC KUIFUATA MBEYA CITY
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba raia wa Romania leo Septemba 17 kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Azam...
LA LIGA, M-Bet, KUWAPIGA MSASA MAKOCHA
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-Mbet na waendeshaji wa ligi ya Hispania, La Liga San Tander wameingia makubaliano ya kuendeleza vipaji nchini Tanzania.Kampuni...
YANGA YAPIGA MATIZI KWA AJILI YA KUJIWEKA FITI KUMALIZANA NA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga leo baada ya kuwasili Bukoba kimefanya mazoezi ya kujiweka sawa ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara...
SIMBA YAITUMIA BIASHARA UNITED UJUMBE HUU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unatambua shauku ya mashabiki wa timu hiyo ni kuona timu inapata ushindi ndicho itakachofanya kwenye mchezo wao dhidi ya...
WANA KMC SASA WAANZA KUIVUTIA KASI MWADUI FC
TIMU ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imeanza kujiweka tayari kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa...