BAADA YA KUPIGWA 7-2 LIVERPOOL HAWAAMINI WANACHOKIONA
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hataki kuamini kwamba wamepoteza mchezo wao wa Kwanza ndani ya Ligi Kuu England kwa kupokea kichapo...
USHINDI WA AZAM FC WAWEKA REKODI NNE MATATA BONGO
USHINDI wa jana Oktoba 4 kwa Azam FC wa mabao 4-2 mbele ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex unawafanya Azam FC kuandika...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
SIMBA YAPIGA 4G JKT TANZANIA, JAMHURI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo...
MRITHI WA KOCHA YANGA HUYU HAPA
JANA, Oktoba 3, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic alifungashiwa virago vyake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye...
MTIBWA SUGAR YABANWA MBAVU
MTIBWA Sugar leo imeshindwa kumaliza Biashara mapema Uwanja wa CCM Kirumba baada ya kufungwa bao 1-0 mbele ya Biashara United.
KIKOSI CHA JKT TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
KIKOSI cha JKT Tanzania kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA
JKT Tanzania 0-3 SimbaUwanja wa Jamhuri, DodomaZinaongezwa 2Dakika ya 45 zimekamilikaKipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.Kipindi cha Kwanza mchezo...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA JKT TANZANIA
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhri, Dodoma
CAVAN KUIBUKIA MANCHESTER UNITED
MANCHESTER United imekubali kupata saini ya mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavan kwa dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru.Ripoti zinaeleza kuwa mazungumzo ya...