MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 

KAGERE AMESHINDIKANA BONGO,CHIRWA, SARPONG WAKWAMA

0
 MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21 umekamilika kwa timu 9 kupambania pointi tatu huku wachezaji wakipambana kuweka rekodi...

RUVU SHOOTING YATUMA UJUMBE HUU KWA IHEFU FC

0
 UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umejipanga kuvunja rekodi waliyoweka msimu uliopita kwa kumaliza ligi wakiwa nafasi ya 12 na pointi zao 47 baada...

HESABU ZA KAGERA SUGAR KWA YANGA BADO KABISA

0
 MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wanaanza kumalizana kwanza na Gwambina Septemba 11 kisha Yanga itafuata Septemba 19. Mexime amesema kuwa wanatambua...

YANGA WATAJA SABABU ITAKAYOWAPA UBINGWA

0
 KIUNGO wa Yanga,  Haruna Niyonzima, amesema kuwa wana kila sababu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kwa kuwa wana...

KIUNGO MPYA SIMBA MZAMBIA ANAWAZA MATAJI TU

0
 KIUNGO mpya wa Simba, Larry Bwalya, raia wa Zambia, amefunguka kuwa atapambana kuhakikisha kikosi hicho kinakuwa na mataji mengi kwa msimu huu. Kiungo huyo ameongeza kwamba...

KOCHA YANGA ABEBA MATUMAINI TIMU YAKE KUFANYA VIZURI

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amesema kuwa anaamini uwezo wa wachezaji wake unazidi kuimarika kila siku jambo linalompa matumaini ya kufaya vizuri kwenye...

MAJEMBE HAYA MATANO YA KAZI SIMBA, KAMILI GADO KUIVAA MTIBWA SUGAR

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mechi zote za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na ile...

LYANGA WA AZAM FC ACHEKELEA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO

0
 AYOUB Lyanga nyota mpya ndani ya Klabu ya Azam FC amesema kuwa anafurahi kuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi chake kwenye mchezo wao wa...