Habari za Yanga leo

MUDATHIR ATUNUKIWA TUZO… MVP…AUCHO & MUSONDA WAHUSIKA

0
MUDATHIR YAHYA, Mzee wa Simu ziishe amaumaliza msimu wa 2023/24 kwa aina yake nzuri ya ushangiliaji ambayo ilikuwa gumzo kwa mashabiki na wapenzi wa...
Habari za Yanga- Miguel Gamondi Yanga

BAADA YA AZIZ KI KUAGA…AFUATA GAMONDI…INSHU YAKE IKO HIVI

0
UONGOZI wa Yanga Chini ya Eng Hersi Said umeendelea kufanya vikao na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi aliyemaliza mkataba ili asalie kikosini,...
Habari za Yanga leo

AZIZ KI AIPA THANK YOU YANGA…AWATAJA WACHEZAJI WENZAKE

0
KIUNGO MSHAMBULIAJI wa Yanga SC Stephen Aziz Ki ametoa shukrani zake za dhati, kwa Uongozi wa klabu hiyo pamoja na wachezaji wenzake kwa kukamilisha...
fei toto na habari za simba leo

FEI TOTO ATAJA KIKOSI BORA CHA MSIMU…AMTAJA POCOME…CHAMA NJE

0
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha...
NASRADINNE NABI-YANGA

KAIZER CHIEF YAIBA KOCHA YANGA…MUDA WOWOTE KUTAMBULISHWA

0
NASRADDINE NABI Aliyewahi Kuifundisha Yanga SC na kutwaa mataji yote ya ndani, Muda wowote anaweza kutangazwa kama kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika...
simba queens

SIMBA YAIBA MCHEZAJI YANGA…YANGA YAJIPANGA KUJIBU MAPIGO

0
Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemaliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Simba...
rais wa fifa- Aipongeza Yanga

RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA…HABARI ZA YANGA DUNIANI KOTE

0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 Klabu...
Habari za yanga leo

SIMBA,YANGA, AZAM & COASTAL…ZATAKIWA KUKAMILISHA USAJILI HARAKA

0
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha sajili zao mapema. Timu hizo ni Simba, Yanga, AZAM FC...
Meridianbet

SHINDANO LA EXPANSE TOURNAMENT KASINO LINAENDELEA…..!

0
Unaambiwa huko Meridianbet Bosi hataki mchezo, ile Promosheni ya shindano la Expanse si unaijua? Basi Pesa zimeongezeka kwa washindi na sasa dau limefikia Tsh...
Habari za Simba

KUHUSU CADENA KUBAKI AU KUSEPA MAZIMA SIMBA….TAARIFA MPYA HIZI HAPA…

0
Uongozi wa Simba umeshindwa kumshawishi kocha wa makipa wa timu, Mhispania Daniel Cadena kuendelea kubaki baada ya kuandika barua ya kutimka Msimbazi. Cadena ambaye alitaja...