MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
BREAKING: MRITHI WA SENZO SIMBA HUYU HAPA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Mtendaji Mkuu mpya ndani ya Simba (CEO), atakuwa ni Barbara Gonzalez ambaye atarithi kiti cha Senzo Mbatha.Mkurugenzi wa Bodi...
ISHU YA ‘SUB’ 5 NDANI YA LIGI KUU BARA IMEKAA HIVI
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya wachezaji watano kama ambavyo walitumia katika kumalizia ligi msimu uliopita. Ligi...
IHEFU YAMNYIMA USINGIZI KOCHA MKUU WA SIMBA SVEN
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema ilibidi akeshe siku mbili akiwa anazisoma mbinu za Ihefu SC kabla ya kesho Jumapili kuvaana nao katika...
KUIBIWA KWA KOMBE LA AFCON TUME YAUNDWA
MAKAMU wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri, EFA, Ahmed Shobier amesema kombe la AFCON limepotea katika makao makuu...
HIZI HAPA MECHI ZA YANGA NDANI YA LIGI KWA MWEZI SEPTEMBA
MECHI za Klabu ya Yanga ndani ya mwezi Septemba zipo namna hii:-Yanga v Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, Septemba 6.Yanga v Mbeya City, Uwanja...
MESSI:NITABAKI BARCELONA KWA KUWA NINAIPENDA
NYOTA wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa sababu kubwa ya kubaki ndani ya klabu hiyo ni kutotaka kwenda mahakamani kwa ajili ya shauri...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
MSERBIA WA YANGA AOMBA SIKU TANO ZA KUSUKA KIKOSI UPYA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic, ametoa kauli ya kibabe akisema siku tano sawa na saa 120 zinamtosha kabisa kusuka kikosi kitakachocheza kwa...
MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA ANAWAZA KUFUNGA TU
NYOTA mpya wa Yanga, Michael Sarpong amesema kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ndani ya timu hiyo ni kuendelea kufunga kwa kuwa ndiyo jukumu lake...