SVEN ATAJA KINACHOISUMBUA TIMU YAKE KWA SASA
JANA Jumamosi, Septemba 12, Simba ilibanwa mbavu na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amemtaja mchawi...
ISHU YA JEZI, YANGA YAIPIGA DONGO KIMTINDO SIMBA
MSHAURI wa Yanga, Senzo Mazingiza raia wa Afrika Kusini, ameibuka na kusema kuwa utengenezaji wa jezi za timu hiyo umetumia ubunifu wa kiwango cha...
RAIS LA LIGA: ILIKUWA NGUMU KUMUACHIA MESSI
RAIS wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga, Javier Tebas, amesema kuwa kwao ilikuwa ni ngumu kumuachia mchezaji staa wa ligi hiyo, Lionel Messi...
SABABU YA MUANGOLA WA YANGA KUJENGA USHKAJI NA BENCHI HII HAPA
KOCHA wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema ataanza kumtumia kiungo mpya wa Yanga, Carlos Carlinhos katika michezo inayofuata ya ligi. Carlinhos amesajiliwa na Yanga hivi...
MO: SITISHIKI NA WANAONIPIGA VITA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema hakuna mtu anayeweza kumuondoa kwenye timu hiyo kwa sasa. Mo ambaye anafahamika kama mmoja...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili, nakala yake ni jero tu
HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO SEPTEMBA 13
LEO Jumapili, Septemba 13. Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili.Hizi hapa zitakuwa uwanjani:-Ihefu v Ruvu Shooting, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.Biashara...
MBEYA CITY:MCHEZO WETU DHIDI YA YANGA NI WA KIMBINU ZAIDI
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa ni wa kimbinu zaidi na mpango...
UONGOZI WA SIMBA WATAJA KILICHOWAKWAMISHA JAMHURI,MOROGORO
JANA mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba walibanwa mbavu kwa kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa...
MTAMBO WA MABAO YANGA WAFICHUA MAANA YA KUSHANGILIA KWAKE
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amesema kuwa sababu kubwa ya kushangilia kwa kushika macho na kuweka mkono kifuani ni imani kwamba kufunga kwake...