MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MTUPIAJI WA YANGA PRINCESS ASAINI SIMBA QUEENS
SHELDA Boniphace mshambuliaji wa Yanga Princess msimu wa 2019/21 ameibukia ndani ya watani zao wa jadi Simba Quuens. Akiwa ndani ya Yanga Princess kwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MASHINE MPYA ZA SIMBA ZAMPA WAKATI MGUMU SVEN
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji kutokana na kuwa wengi huku wote...
NAMUNGO FC YAIPIGIA HESABU SIMBA NGAO YA JAMII
KOCHA Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba. Mtanange...
AZAM FC YAIFUNGA BAO 1-0 KMC
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Klabu ya KMC.Bao la ushindi kwa Azam FC lilipachikwa na mshambuliaji wao ingizo...
MESSI ANUKIA KUTUA MANCHESTER CITY
IMERIPOTIWA kwamba baba mzazi wa Lionel Messi, mzee Jorge Messi, amewasili katika jiji la Manchester kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kufanya mazungumzo na Klabu...
NAMUNGO KUKUTANA NA MUZIKI WA NYOTA HAWA WA KAZI SIMBA
NYOTA wawili wa Klabu ya Simba, Luis Miquissone ambaye ni kiungo mshambuliaji na Pascal Wawa ambaye ni beki wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa...
NAMUNGO WANA JAMBO LAO KWA WANA ARUSHA, KUTAMBULISHA MAJEMBE MAPYA MATATU
UONGOZI wa Namungo FC, umeweka wazi kuwa ndani ya wiki hii wamepanga kuwafanyia sapraizi mashabiki wake waliopo Arusha kwa kutambulisha nyota watatu wapya kabla...
MUANGOLA WA YANGA APEWA JEZI YA SIBOMANA
CARLOS Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo maarufu kwa jina la Carlinhos, ndani ya Yanga amekabidhiwa jezi namba 11 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo mshambuliaji wa...