KMC YAIPIGA 4G MBEYA CITY UWANJA WA UHURU
KLABU ya KMC leo Septemba 7 imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA
HIKI hapa kikosi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Polisi Tanzania
HII HAPA CV YA CEO MPYA WA SIMBA
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez Septemba 7, 2020 alichaguliwa na Bodi ya Wakurugenzi kuchukua nafasi iliyoachwa na Senzo Mazingisa ambaye...
DODOMA FC NI NOMA, WAWEKA REKODI YAO BONGO
DODOMA Jiji FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata jana Septemba 6 iliweka rekodi yake ya kipekee kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0...
YANGA YATOA SHUKRANI KWA MASHABIKI WAKE
UONGOZI wa Yanga umewashukuru mashabiki waliojitokeza kwa wingi jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons.Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkapa...
SIMBA YATIA TIMU BONGO, KUANZA KUIPIGIA HESABU MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha Simba kimewasili leo Dar es Salaam kikitokea Mbeya ambapo kilikuwa na mchezo wa Kwanza wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC...
ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU MABAO MAWILI YA JANA KUKATALIWA NA MWAMUZI
BAADA ya Simba jana kushinda kwa ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine leo...
YANGA YAPIGA HESABU YA KUKUSANYA MATAJI MSIMU MPYA WA 2020/21
BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema kutokana na ubora wa kikosi cha wachezaji walichonacho anapata uhakika wa kubeba makombe katika msimu...
PSG BADO WANAIMANI YA KUMPATA MESSI
MABOSI wa Paris Saint-Germain inayoshiriki Ligue 1 ya nchini Ufaransa wakiwa ni mabingwa kwa msimu uliopita wamesema kuwa wanaamini kuwa wana uwezo wa kuipata...
MBABE NA KIDUKU KUZICHAPA TENA DESEMBA 26
MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Hassan ‘Twaha Kidudu na Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe’ wanatarajia kupanda ulingoni tena Desemba 26, mwaka huu kuzichapa...