HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 24 WA AZAM FC WALIOSAFIRI KUELEKEA MBEYA
Orodha ya wachezaji wa kikosi cha Azam FC waliosafiri leo Septemba 18 kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Septemba...
KMC YATAMBA KUENDELEZA REKODI ZAKE VPL
OFISA Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC unaotarajiwa kuchezwa Septemba 21,...
BOSI YANGA AWATOA HOFU MASHABIKI
MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mabadiliko,Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini, amefunguka kwa kuwafuta hofu mashabiki wa timu hiyo akiwaambia watulie...
BERNARD MORRISON MAMBO NI MAGUMU SIMBA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, ameonekana kuwa na maisha magumu ndani ya kikosi cha Simba, hii ni baada ya kutokuwa na uhakika wa...
MUANGOLA WA YANGA KUMCHOMOA KIUNGO NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA
UPO uwezekano mkubwa kiungo mmoja kati ya watano waliokuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Mserbia, Zlatko Krmpotic nafasi yake kuchukuliwa na kiungo Carlos Carlinhos. Hiyo...
MESSI ANAWEZA KUIKOSA EL CLASICO NDANI YA BARCELONA
KOCHA mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga...
SIMBA YATAJA SABABU YA VIINGILIO KUWA BUKU TATU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya kuomba viingilio kushushwa kwenye mechi yao dhidi ya Biashara United ni kutaka kuanza sera yao ya...
WATANO WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Yanga kwa sasa kipo Bukoba ambapo kiliwasili jana Septemba 17 na kuanza kufanya mazoezi kwa ajlili ya kujiwinda na Kagera Sugar.Mchezo huo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI
LEO Septemba 18, Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wadhamini wake wakuu ni Kampuni ya Vadacom inaendelea ambapo ni mzunguko wa tatu kwa sasa baada...