SIMBA LEO KUKIPIGA DHIDI YA KMC NA TRANSIT CAMP, MUGALO KUZIKOSA ZOTE MBILI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akishirikiana na Selaman Matola, leo Agosti 26 kitacheza mechi mbili za kirafiki.Itacheza dhidi ya KMC...
VIKOSI VIWILI VYA YANGA ACHA KABISA,MUGALU ATOWEKA SIMBA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
KIUNGO MPYA SIMBA AKOMBA MILIONI 138
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Larry Bwalya, ameikamua timu hiyo Sh milioni 138 kama ada ya usajili akisaini mkataba wa miaka miwili. Bwalya amejiunga...
HILI HAPA JESHI KAMILI LA SIMBA MSIMU WA 2020/21
1. Luis Miqussone wa Msumbiji2.Pascal Wawa wa Ivory Coast3. John Bocco jezi namba 22, nahodha.4. Mohamed Hussein nahodha msaidizi, jezi namba 15.5Ally Salum,kipa namba 3,jezi...
ISHU YA KIBALI CHA MORRISON SIMBA WAIJIBU YANGA KIMTINDO
BAADA ya uongozi wa Yanga kusema kuwa unashangazwa na shinikizo kutoka kwa Wizara ya Uhamiaji kuitaka timu hiyo kutoa kibali cha kazi kwa nyota...
CHAMA AKUBALI MUZIKI WA TIMU YAKE YA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, amefunguka kuwa kutokana na ubora wa kikosi chao kwa sasa, ana imani kuwa hakuna timu yoyote itakayoweza...
KIUNGO MUANGOLA RASMI ATUA BONGO KUMALIZANA NA YANGA
KIUNGO, nyota kutoka Angola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo Carlinhos, leo Agosti 25 ametia timu Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa...
BREAKING:AZAM FC YAMALIZANA NA MAKOCHA WATATU
UONGOZI wa Azam FC, leo Agosti 25 umemalizana na makocha wake watatu wanaounda benchi la ufundi kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi...
YANGA: AGOSTI 30 TUNA JAMBO LETU, KONDE BOY NAYE NDANI
HAMAD Seneda, maarufu kama Madee ambaye ni shabiki wa Yanga amesema kuwa haamini kama Agosti 30 kuna mtu atabaki nyumbani na kushindwa kutokea Uwanja...
NYOTA WA BRAZIL AMPA TANO BWALYA
KIUNGO wa Simba, Gerson Fraga Vieira raia wa Brazil amesema kuwa usajili wa kiungo mpya, Larry Bwalya kutokea Klabu ya Lusaka Dynamos ya nchini...