HAJI MANARA ALIPA FAINI YA MILION 5 TFF LEO

0
 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba, leo Septemba 16 amelipa faini ya shilingi miloni 5 aliyopigwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho aSoka Tanzania,(TFF). Manara...

BIASHARA UNITED KAMILI KUMALIZANA NA SIMBA

0
GERALD Mdamu, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Biashara United amesema kuwa wamejipanga kufanya vema kwenye mechi zao zote za Ligi Kuu Bara ikiwa...

ASTON VILLA YAMALIZANA NA KIPA WA ARSENAL

0
KLABU ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England imethibitisha kupata saini ya mlinda mlango aliyekuwa anakipiga Arsenal, Emiliano Martinez kwa mkataba wa miaka minne...

KINACHOMZUIA KAGERE KUONDOKA SIMBA HIKI HAPA

0
 PATRICK Gakumba, wakala wa mshambuliaji namba moja ndani ya Simba, Meddie Kagere amesema kuwa amepokea ofa nyingi kutoka timu tofauti zikitaka saini ya mchezaji...

KCB YASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA

0
BENKI ya KCB leo Septemba 16, imesaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), kwa ajili ya kudhamini Ligi Kuu Bara, kwa mkataba wa...

AZAM FC WAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MBEYA CITY

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Septemba 20, Uwanja wa Sokoine Mbeya dhidi...

BERNARD MORRISON KUKUTANA NA BALAA LA SARPONG

0
 BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ana mechi tatu za moto mkononi ambazo ni sawa...

RAIS TBF AOMBA WADAU WAENDELEE KUTOA SAPOTI

0
 PHARES Magesa, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania,(TBF) amewaomba wadau wa mpira wa kikapu waendelee kujitokeza kutoa sapoti katika maendeleo ya mpira...

KAGERA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

0
 MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba Septemba...

MFUMO MPYA WA BONASI NDANI YA YANGA WABADILIKA

0
 HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba wanaendelea...