THIAGO AZIGOMEA KIMTINDO TIMU ZINAZOIWINDA SAINI YAKE
NYOTA anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich ambao ni Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Thiago Alcantara amesema kuwa anapenda kubaki ndani ya...
AZAM FC WAPANIA MAKUBWA 2020/21
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa utakuja tofauti ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kufanya makubwa tofauti na msimu uliopita wa 2019/20...
YANGA IPO KAMILI GADO KUIVAA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa maandalizi yao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons yapo vizuri. Yanga itakutana na Prisons Uwanja...
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA IHEFU FC
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu utakaopigwa Septemba 6, Uwanja wa Sokoine....
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MAJEMBE MAPYA YAWAPA JEURI AZAM FC,WATAMBA KUBEBA UBINGWA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi mipango yao ya kugombania ubingwa msimu ujao mara baada ya kufanya usajili ambao unawapa jeuri kuelekea msimu mpya. Azam...
VAN de BEEK AMALIZANA NA MANCHESTER UNITED, AKABIDHIWA JEZI NAMBA 34
KLABU ya Manchester United ya England imekamilisha usajili wa mchezaji Donny van de Beek (23) kwa ada ya Paundi Milioni 40 kutokea Klabu ya...
HAYA HAPA MAAMUZI RASMI ATAKAKOKIPIGA MORRISON MSIMU WA 2020/21
BERNARD Morrison, winga mpya wa Klabu ya Simba rasmi atakipiga kwenye klabu hiyo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania kumtambulisha kwamba ni mchezaji wa...
MUDA WA KUINJOY UMEISHA, YANGA SASA NI WAKATI MAANDALIZI….
NA SALEH ALLYUKIANGALIA takribani wiki mbili, Yanga wamekuwa wakipambana kuhakikisha wanafanya kitu kizuri katika tamasha lao.Jana ndio ilikuwa ni hatma ya Wiki ya Mwananchi,...