KIKOSI CHA YANGA KWA MSIMU WA 2020/21 HIKI HAPA
USIKU wa kuamkia leo Agosti 31 dirisha la usajili lilifungwa rasmi baada ya kufunguliwa Agosti Mosi na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF).Hiki hapa kikosi cha...
BIASHARA UNITED KUJA NA MOTO MKALI MSIMU WA 2020/21
FRANCIS Baraza,Kocha Mkuu wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa atahakikisha timu yake inakuwa moto wa kuotea mbali kwa msimu mpya wa 2020/21. Pazia...
KOCHA MPYA WA BARCELONA AANZA MAZOEZI BILA YA MESSI
RONALD Koeman, Kocha Mkuu wa Klabu ya Barcelona jana Agosti 31 alianza kukinoa kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2020/21...
NAMUNGO HESABU ZAO NDANI YA LIGI KUU BARA
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni Kwenye mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal...
KIKOSI CHA SIMBA KUIFUATA IHEFU LEO MBEYA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, leo Septemba Mosi kinatarajiwa kuanza safari kuelekea Mbeya kuifuata Ihefu FC. Simba...
KOCHA MPYA YANGA,:WACHEZAJI WAPO VIZURI, WANAHITAJI MUDA
ZLATKO Krmpotic, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa amewaona wachezaji wake wakionyesha kiwango bora kwa kila mmoja ila wanahitaji muda wa kuzoeana...
MTIBWA SUGAR YAFUNGA KAZI NA MAJEMBE NANE
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umefunga pazia la usajili kwa kusajili majembe mapya ya kazi nane kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21. Dirisha la...
BEKI BORA MSIMU WA 2019/20 APEWA TUZO NYINGINE TENA
UONGOZI wa Azam FC umempa tuzo nyingine tena beki bora wa msimu wa mwaka 2019/20 ndani ya Ligi Kuu Bara Nicolas Wadada. Tuzo hiyo...
AFC YAFUNGWA MABAO 6-0 NA SIMBA, LUIS MIQUSSONE ATUPIA MATATU
KIKOSI cha Simba, leo Agosti 31 kimeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya AFC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri...
UNITED YATAKA SAINI YA BEKI WA RB LEIPZING KUMUONGEZEA NGUVU MAGUIRE
IMEELEZWA kuwa Manchester United ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya beki wa Klabu ya RB Leipzig, Dayot Upamecano kwa ajili ya kuongeza nguvu...