MSIMU MPYA TUNAHITAJI SOKA LA USHINDANI, MALALAMIKO YAWEKWE KANDO
LEO Jumatatu saa 5:59 usiku dirisha la usajili litafungwa rasmi kwa hapa nchini ikihitimisha kipindi cha mwezi mzima cha timu kupewa kibali cha kusajili...
JEMBE LA KAZI YANGA KUTOKA BURKINA FASO LATIA TIMU BONGO RASMI
YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso. Sogne anaungana na wachezaji wenzake kambini jumla kwa ajili ya...
MANE ANUKIA BARCELONA
SADIO Mane nyota wa Klabu ya Liverpool anatajwa kuingia anga za Klabu ya Barcelona ili kuziba pengo la mshambuliaji wao namba moja Lionel Messi...
MCHEZO MZIMA WA SIMBA KUTWAA NGAO YA JAMII ULIKUWA NAMNA HII
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck jana Agosti 30 kilifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda mchezo wa fainali mbele ya...
MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI
YANGA jana Agosti 30 Uwanja wa Mkapa ilihitimisha kilele cha wiki ya Mwananchi kwa ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Klabu ya Aigle Noir...
ANAANDIKA HAJI MANARA AKIWAOMBA WATANZANIA WAMPE JAPO HESHIMA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amewaomba mashabiki na watanzania wampe heshima kabla hajatangulia mbele za haki kwa kuwa amefanya mengi makubwa kwa sasa...
SAKATA LA MORRISON KUIBUKA UPYA, SERIKALI YATOA USHAURI HUU YANGA
ALIYEKUWA Rais wa awamu ya nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Yanga kuachana na mvutano wa suala...
MTIBWA SUGAR WAMEAMUA,YAMALIZANA NA MAJEMBE SITA YA KAZI
JUMA Nyangi, nyota wa zamani wa Klabu ya Alliance FC ya Mwanza anatimiza idadi ya nyota sita waliosajiliwa na Klabu ya Mtibwa Sugar. Nyangi...
JEMBE LA YANGA JIPYA KUTUA LEO
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga,Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso anatarajiwa kutua nchini leo Agosti 31, akitokea nchini Burkina Faso. Nyota huyo ilibidi atue nchini Agosti...
LIVE:YANGA 0-0 AIGLE NOR
Dakika ya 30, nyota wa Aigle, Koffi anaonyeshwa kadi ya pili ya njano na kufanya aonyeshwe kadi nyekudu,Dakika ya 23 Kibwana Shomari anamwaga maji...